John Wick 3
Member
- Oct 23, 2018
- 17
- 14
pole sanaaMaisha sio fair kabisa [emoji17] alie niamsha yeye kalala saiz dah.
pole sanaaMaisha sio fair kabisa [emoji17] alie niamsha yeye kalala saiz dah.
Mwambie asilete kiherehere cha kukuamsha skuingineMaisha sio fair kabisa [emoji17] alie niamsha yeye kalala saiz dah.
Dah acha tu [emoji23] naahidi kulipiza kisasa kabisa muache atalipia hili.pole sanaa
Atalipia hili siku moja leo mjanja yeye [emoji22]Mwambie asilete kiherehere cha kukuamsha skuingine
Hahahahaukweli mm sijawahi jifukiza hata siku moja [emoji17]
Watu sikuhizi hawacheui beer wanacheuwa tangawizi na limau tu.Hahahaha
Atailipa wapi weeehAtalipia hili siku moja leo mjanja yeye [emoji22]
tupo wengi mkuu sio peke yakoHahahaha
Lazima nilipize hiki kisasi [emoji51]Atailipa wapi weeeh
Haya sawa atalipaLazima nilipize hiki kisasi [emoji51]
Sindio wanasema week ya nyugu hii?tupo wengi mkuu sio peke yako
Hasamehewi mtu hapa hatakama ni Ramadan.Haya sawa atalipa
Mzee wa masigara.01:55hrs [emoji377][emoji377][emoji377]
"ᴺᵒ ⁱᵐᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ ᵗʰᵉ ʷᵒʳᵈ ⁱᵗˢᵉˡᶠ ˢᵃʸˢ ᴵ'ᵐ ᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ"