Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,120
Tangu lini umekuwa Mr misifa?Ila umenisifia hapo sio ?
Tangu lini umekuwa Mr misifa?Ila umenisifia hapo sio ?
Aise.Naomba picha yoyote ya mtu anaeoza aliekufa akiwa na sanda kaburini aiweke hapa ninashida nayo. Yani awe ameshaanza kuoza KABURINI akiwa ndani ya jeneza.

Swali hilo unatakiwa kulijubu wewe.Tangu lini umekuwa Mr misifa?
SawaSwali hilo unatakiwa kulijubu wewe.
Nenda makaburini ukapige mwenyewe.Au naombeni picha ya mwanamke mreeefuuu amekaa juu ya KABURI usiku wa manane peke yake amevaa nguo nyeupe na macho yake yanametameta.

Nasubiri jibu.Sawa
Lala ..ya night club waachie wenyeweKuna night club inapiga mziki mpaka kwenye makazi mziki unasikika na nahisi watu watakuwa nyomi. Na hii corona kweli people real don't care!!

Nakuja inbox mwanamke
Unaenda kwake au unakuja kwangu mrembo ?
Pole mkuuZanzibar mvua, binafsi ikija mvua usingizi unakata. Tangu siku nilipoibiwa ndani na mvua kali linanyesha kuamka asubuhi tv haipo

Upo wapi mkuu ihamishiwe uko