Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,940
- 4,958
Lindo linasemaje wana Jf
Huo unga wa zaatari ndio upi mkuu?
Nimeitoa kwa jamaa fulani kuhusu tiba asili ya covid-19 - JamiiForums
HII HAPA NI DAWA YA CORONA YA KUNYWA
Ndugu zangu mwenye macho haambiwi tazama, dawa hizi zimesaidia watu wengi usipuuze, kule juu nimeweka dawa ya kujifusha, ila hiyo wataalamu wangu wa mitishamba wanasema inafanya kazi kwa mtu ambaye dalili ndo zinaanza ila mdudu akishaingia kwenye mapafu na kuanza kufanya yake ni ngumu kumtoa kwa mtindo wa kujifusha, wanasema kujifusha inafanya kazi pale tu mtu ataitumia ndani ya siku nne baada ya kuhisi dalili, ila kwa yule ambaye tayari ameshaanza kupata madhara au tayari yupo katika critical condition atumie mchanganyiko huu kwakweli utamsaidia sana
MAHITAJI;
Unga wa tangawizi nusu kilo
Unga wa karafuu nusu kilo
Unga wa zaatari nusu kilo
Huo unga wa zaatari ndio mti gani mkuu?
MATUMIZI;
Chukuwa kila dawa kijiko 1 kikubwa changanya pamoja vijiko 3, katika hivyo vijiko 3 utatoa kijiko 1 kikubwa utaweka ndani ya sufuria kisha weka maji glasi 1 na nusu kisha weka jikoni kwa moto usio mkali sana chemsha kwa dakika 10 kisha ipuwa, ikiwa bado ya moto chukuwa limao moja kamulia ndani yake koroga vizuri unywe kama unavyo kunywa chai, ndani ya hiyo dawa usije kutia asali wala sukari kunywa hivyo hivyo, na kama umeshapata ugonjwa utakuwa unakunywa kwa siku mara 4 baada ya masaa 3, yani utachukuwa ule mchanganyiko wa vijiko 3 vya dawa utatoa kijiko 1 utaweka ndani ya sufuria na kisha utaweka maji glasi moja na nusu utachamsha kwa dakika 10 utaipuwa na kuiweka dawa ndani ya kikombe pasipo kuichuja kisha utaikamulia limao na kukoroga na kunywa utakunywa hiyo dawa kila baada ya msaa 3 kwa siku utakunywa mara 4 au hata mara 6 sio mbaya(kwa wale ambao ugonjwa ushaanza kuwatafuna) ukitumia siku 7 siku 10 mpaka siku 15 utakuwa umepona kabisa.
Asanteni sana na Mungu atubariki kwa pamoja tumshinde adui huyu.
🙏

Pole mwayaSiku ya tatu sasa sipati usingizi.
Hapana mkuu, kafanyaje kwn
Ni majani yanapatikana kwenye maduka ya asili, unaponda yawe unga.Huo unga wa zaatari ndio upi mkuu?
Hahahaha, majanga humu kuna majanga sana inaonekanaSijui wanakimbiaga nini?
Lakini Zurri lilikuwa ya Kikekike sana....
Mwenye kisu kikali ndio mla nyama.Mwache mrembo aje kwangu![]()
Nashukuru.Acha tuendelee kusukuma muda.Pole mwaya
Oh asante mkuu.Ni majani yanapatikana kwenye maduka ya asili, unaponda yawe unga.
Sijawahi badili ID since 2009Mnaobadirigi ID mnajijua haha
HahahahaMmemfichua![]()
Unaenda kwake au unakuja kwangu mrembo ?
Haha basi utakuwa na account mbili humu!Sijawahi badili ID since 2009
Hahahaha, majanga humu kuna majanga sana inaonekana
Kwani hili limekaa kiume?