Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Yna2 ulichokifanya ni ujinga umeonyesha immaturity najua unajua ulichokifanya na umenielewa.
Nipo daslam ya DarUpo wapi mkuu ihamishiwe uko
Bila shakaMkinionea wale viumbe wanne muwasalimie..kauzi kamepoa sijui wako wapi..S...S...G..W
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Corona hiiHapo panamfaa yna2 hana usingizi.
..unitakii mema weyeDah ndo hatari apo. Ishuke kidogo tu maana ikishuka sana njiani hakupitiki
Yeah..ikishuka sana baadae tutatafutana maana si kwa miundombinu hiiDah ndo hatari apo. Ishuke kidogo tu maana ikishuka sana njiani hakupitiki
Nyinyi ni wakaazi wa jua tuYeah..ikishuka sana baadae tutatafutana maana si kwa miundombinu hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi mvua imenyesha ukalalamika baridi, Leo unaitaka😂😂
Huyo alishayapitia Sana enzi hizo sasa hivi analea na kuwafundisha wanae tabia njema![]()


Hawa jamaa sijui wametekwa
Huyo alishayapitia Sana enzi hizo sasa hivi analea na kuwafundisha wanae tabia njema![]()

Jua likizidi Sana lakera..walau mvua inakuwa yapoza kidogoNyinyi ni wakaazi wa jua tu