Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Ndiyo naitaka na nimeshaandaa blanket pembeni yangu.Juzi mvua imenyesha ukalalamika baridi, Leo unaitaka![]()
Usingizi umekata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo naitaka na nimeshaandaa blanket pembeni yangu.Juzi mvua imenyesha ukalalamika baridi, Leo unaitaka![]()
Mtekaji atakuwa katisha..maana wote ziiiiiiiHawa jamaa sijui wametekwa
Yna anaishi katika jina lake. Tumuache aleeTabia zipi njema ambazo yeye hakuweza.![]()
Hakika ni jambo la kumshukuru MunguKaribu mkuu, namshukuru Mungu kwa kuuona usiku maana siku hizi huu ndio muda salama zaidi
Basi endeleeni kupambana..wacha tunaoishi maeneo yasiyofikwa na maji tuendelee kuomba mvuaSerikali yenyewe kuhamia mkoa imeshindwa itakuwa sisi.!!
Halafu linataka nauliUtakuta dem lenyewe baaaayaaaa
Hauji kabisa mamii. Sijui nifanyeje vinginevyo nitawasindikiza nyie hapaNdiyo naitaka na nimeshaandaa blanket pembeni yangu.
Usingizi umekata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kiongozi
Mkinionea wale viumbe wanne muwasalimie..kauzi kamepoa sijui wako wapi..S...S...G..W
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana.. mwenyewe usingizi kwishaHauji kabisa mamii. Sijui nifanyeje vinginevyo nitawasindikiza nyie hapa
Usiku mwema na wewe pia mkuuJust one hour is enough for me tonight. Nawatakia usiku mwema wote
Oh kumbe tutasindikizana. Naona unarudirudi kwambaaali, ngoja niubembelezePole Sana.. mwenyewe usingizi kwisha
Haitakuwa mbaya ukitusindikiza
Sent using Jamii Forums mobile app