JamiiForums Usiku wa manane
Binafsi nadhani wakubwa wa nchi wanakosea mahali. Wanajaribu kufanya hali ionekane sio mbaya sana ilihali inakula kwa ndani. Ukipita mtaani unaweza kuona wananchi walivyo relax kwa sababu ya taarifa wanazolishwa.
Hata corona ipige, chukua hatua ili ijulikane kuwa ilipiga lakini hatua zilichukuliwa. Lakini ikipiga na tulikuwa tumekaa tu kama tunaangalia tamthilia ya Razia sultani, hata sisi wenyewe hatutokaa tujisamehe.
Umenena sahihi mkuu.
 
IMG-20200502-WA0000.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China pale mjini Wuhan ilikuwa hivi hivi kabla hawajagundua kuwa ni Corona ila huku pamoja na kugundua mapema ila watu wanafikia state ya kudondoka mabarabarani. Tatizo nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeitoa kwa jamaa fulani kuhusu tiba asili ya covid-19 - JamiiForums

HII HAPA NI DAWA YA CORONA YA KUNYWA

Ndugu zangu mwenye macho haambiwi tazama, dawa hizi zimesaidia watu wengi usipuuze, kule juu nimeweka dawa ya kujifusha, ila hiyo wataalamu wangu wa mitishamba wanasema inafanya kazi kwa mtu ambaye dalili ndo zinaanza ila mdudu akishaingia kwenye mapafu na kuanza kufanya yake ni ngumu kumtoa kwa mtindo wa kujifusha, wanasema kujifusha inafanya kazi pale tu mtu ataitumia ndani ya siku nne baada ya kuhisi dalili, ila kwa yule ambaye tayari ameshaanza kupata madhara au tayari yupo katika critical condition atumie mchanganyiko huu kwakweli utamsaidia sana

MAHITAJI;

Unga wa tangawizi nusu kilo
Unga wa karafuu nusu kilo
Unga wa zaatari nusu kilo

MATUMIZI;

Chukuwa kila dawa kijiko 1 kikubwa changanya pamoja vijiko 3, katika hivyo vijiko 3 utatoa kijiko 1 kikubwa utaweka ndani ya sufuria kisha weka maji glasi 1 na nusu kisha weka jikoni kwa moto usio mkali sana chemsha kwa dakika 10 kisha ipuwa, ikiwa bado ya moto chukuwa limao moja kamulia ndani yake koroga vizuri unywe kama unavyo kunywa chai, ndani ya hiyo dawa usije kutia asali wala sukari kunywa hivyo hivyo, na kama umeshapata ugonjwa utakuwa unakunywa kwa siku mara 4 baada ya masaa 3, yani utachukuwa ule mchanganyiko wa vijiko 3 vya dawa utatoa kijiko 1 utaweka ndani ya sufuria na kisha utaweka maji glasi moja na nusu utachamsha kwa dakika 10 utaipuwa na kuiweka dawa ndani ya kikombe pasipo kuichuja kisha utaikamulia limao na kukoroga na kunywa utakunywa hiyo dawa kila baada ya msaa 3 kwa siku utakunywa mara 4 au hata mara 6 sio mbaya(kwa wale ambao ugonjwa ushaanza kuwatafuna) ukitumia siku 7 siku 10 mpaka siku 15 utakuwa umepona kabisa.

Asanteni sana na Mungu atubariki kwa pamoja tumshinde adui huyu.
 
Mkuu unamfahamu Humble African?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom