fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,684
- 24,003
Aisee nyinyi bado mpo kwenye posts zenu za Ulinzi mpaka mida hii?Kabisa mkuu, wewe huko vipi?
mkuu kesha handover report 😂😂
Aisee nyinyi bado mpo kwenye posts zenu za Ulinzi mpaka mida hii?Kabisa mkuu, wewe huko vipi?
Kauli yako ya jana imesababisha mvua isinyeshe leo...Lala ww kuna mvua leo
Mvua leo hakuna ila kuna hewa saaafi
LimeanzaLindo likianza mnishtue waungwana
Tukushtue vipi ndo linaelekea kuanzaLindo likianza mnishtue waungwana
Mh..huku niliko kuna joto kali kabisaMvua leo hakuna ila kuna hewa saaafi
Uko sudani ww
Nmeanza kudonoa
NmekujaLimeanza
Hapa Hapa kwa Nyerere..ila nyuzi zinasoma 30 centigrade ..Uko sudani ww
Ah halisi shwari upande huu
Aiseee hatar ni wapi hukooo mji wenye bahari yake nnHapa Hapa kwa Nyerere..ila nyuzi zinasoma 30 centigrade ..
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app