JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wale walinzi wenzangu katika ulinzi shirikishi. Nachukua fursa hii kuwashukuru kwa ushirikiano wenu katika kuhakikisha usalama wa raia na mali zao unaimarishwa ilhali wenzetu tunaowalinda wakilala 4-4-4. Tuendelee kushikamana katika hili. Muwe na siku njema. Tukutane mida yetu ile ile.
 
Back
Top Bottom