Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,182
ila hiz njia za dingi mm siziwezi kabsaa wacha nielekeze kutumia ka sanitizer kana tosha iyo kujibanika kweny 100 c duuuNdio nachemsha tangawizi na malimao ninywe
Tumuombe mungu atende miujizaadui naona anaenda kutupanda kichwa na dingi kama katutelekeza kiaina 😁😁😁
Nipo hapa Jijini Downtown...Wapi huko mkuu ???
Tunaishi mara moja tu mkuu...inabidi kujipambania tuila hiz njia za dingi mm siziwezi kabsaa wacha nielekeze kutumia ka sanitizer kana tosha iyo kujibanika kweny 100 c duuu
Kweli kabisa. Dingi kasoma ramani.tTunaishi mara moja tu mkuu...inabidi kujipambania tu
Maneno kuntuBut nothing’s greater than the rush that comes with your embrace
And in this world of loneliness
Lala ww kuna mvua leo