JamiiForums Usiku wa manane
Muda wa kujilinza na invincible enemy unakaribia kwa kasi sana.
kuweni makini mnaotimiza majukumu yenu mjini.
Adui corona keshatandaza platoons za kutosha kila upande tayari kwa kuvamia na kuua yeyote yule bila kuchagua huyu ni top ranking officer au askari wa kawaida.
 
Na kwenye hili lindo unawajibika kuulinda usalama na uhai wako wewe mwenyewe kwanza kwa asilimia100.
Hata nikisema nikulipe fyddell unilinde nahatarisha uhai wangu
Kabisa maana huyu adui naweza akakufikia kupitia umuaminiye. Majeshi yenye nguvu kabisa duniani pamoja na siraha zao za maangamizi wamemshindwa huyu adui hata kwa umoja wao.
so it's time to start from self protection to all who around you. Be careful my dear
 
Huyu adui haangalii imani, utaalamu, pesa, teknolojia wala status, yaani ujeuri kwelikweli. Halafu akikamilisha mission yake kile kiutaratibu kinachofuata sio kabisa... wanaobaki ndio wanaoumia zaidi. fyddell take care of yourself and your loved once
 
Dunia inapepesuka, nchi zinatikisika!. Huyu adui sijui nani atafanikiwa kumuangamiza. Atakayefanikiwa itabidi apewe tuzo ya kuokoa dunia na kutangazwa kuwa "The warrior of all nations"
Thanks for the piece of advice, you're appreciated
 
Back
Top Bottom