Sema nasubilia cousin akupost na yeye alafu wale jamaa zangu kesho nitawaambia kesho uoge Pepsi sawa pamoja na matusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee mwenzangu... una kumbukumbu aseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thanks much blood.. unajua vile nakukubali mkuu wangu .. wewe ndo realest nd one of the best..
Im humbled sana kaka ...shukrani
Tupo karantini kwanza mkuu..
Mbona tupo karibu mana mie Nipo hapa Mukituntu hebu fanya kuja basi[emoji23][emoji23]Nipo kisieani ukerewe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Swali rahisi sana hili unachezaga game gani kwanza?!Yani acha tu...
Nasahauligi kukuuliza:Kwanini ulijiita Goddess!?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona haoneshi kama mhuni!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kijana muhuni tu huyu simiss
Kesho tena hio ss hv vivuko vimelalaMbona tupo karibu mana mie Nipo hapa Mukituntu hebu fanya kuja basi[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aww thank u bado uma wishes10 kutoka kwangu zisubiri humuhumu kabla haujalala maana hatuwezi leta nepi msongamano hauruhusiwi
Acha uhuni Kijana ilete cake hapaTupo karantini kwanza mkuu..
Party mwisho watu watatu. Wengine mtaipata live on youtube au insta [emoji4][emoji4]
Sema nasubilia cousin akupost na yeye alafu wale jamaa zangu kesho nitawaambia kesho uoge Pepsi sawa pamoja na matusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Too bad...mie sina urafiki na Masuala ya game!!Swali rahisi sana hili unachezaga game gani kwanza?!
Muhuni tu huyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe mnashereheka kipande hii. Afadhali nilivyokuja kwa kunyata nimewafuma live. Wapi huo mpunga sasa.It's May Day [emoji3060][emoji322][emoji323][emoji320]
Happy birthday champ simiss [emoji3060] stay blessed fam, Yeah that we popping like [emoji851] Let's get the party started!
#TeamMayForever [emoji1491]
Hahah huwa namuona anavyokuuaUnajua mi mshkaji wa kanisani ila dogo anataka kunipitisha njia zake ovu.. ashaqnza kuniharibia cv kabsaa
Maombolezo gani tena hayo!!!?Mzee kipindi cha maombolezo hiki.. subiri next year utapata mualiko mapema sana [emoji4][emoji4]