Mohamed_jumanne
JF-Expert Member
- Feb 16, 2020
- 331
- 938
Nipo na nitaendelea kuwepo Mkuu moja mida wakufunga lindo. Karibu tuukabili wote usiku huu wa mananedaaa kamanda wa anga haulali tuuu?
umenikumbusha Kuna ka wimbo karikuwa TBC taifa kanaimba "Ata wewe karani amka kumekucha uvivu sijui nn nin uko Ata ww mwanafunz amka kumekucha beba Karam uende shule"
Safi huo ni utumishi uliotukukaNipo na nitaendelea kuwepo Mkuu moja mida wakufunga lindo. Karibu tuukabili wote usiku huu wa manane
Na hii korona sheikh,, badala ya kujenga taifa mtajikuta mnajenga makaburi...
Hata maeneo yetu inanyesha kama haitaki vile 😀😀
Kama haitaki vile..ije Ile yenyeweHata maeneo yetu inanyesha kama haitaki vile![]()
Hahaha kama una uwezo wa kuwapa hiyo adhabu tekeleza Mkuu😀😀Tupo ila wote waliokimbia lindo na kwenda kutafuta mchakato ni ban
Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu taratibu Sheikh...Na hii korona sheikh,, badala ya kujenga taifa mtajikuta mnajenga makaburi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu mm nilidoji mda flan lakn naona nitapotea Tena nilikuwa na download mambo na bando la night naona soon Sim inaenda KunizimikiaNipo na nitaendelea kuwepo Mkuu moja mida wakufunga lindo. Karibu tuukabili wote usiku huu wa manane
OK hunabudi kuiweka kwenye charge mkuu kabla haijakata.Asante mkuu mm nilidoji mda flan lakn naona nitapotea Tena nilikuwa na download mambo na bando la night naona soon Sim inaenda Kunizimikia
mkuu unaogopa corona?? 😁😁😁
daaa nipo elia 51 sijabeba Ata charger kamanda 😢😢😢OK hunabudi kuiweka kwenye charge mkuu kabla haijakata.
Hapo imekula kwako. Imarisha lindo machine ikamate vizuri ndio mida yao hii ya kupenya na mvua hiidaaa nipo elia 51 sijabeba Ata charger kamanda 😢😢😢
au tuwalipoti kwa mod kwamba wametoroka post zao wale ban 😂😂😂Hahaha kama una uwezo wa kuwapa hiyo adhabu tekeleza Mkuu😀😀