Nipo mkuu, nasubiri kijiti, vp ulifanikiwa?ohooo mwamba naona bado upo hewan uapepesi jicho 😁😁😁
Hatutaki wategaji yaani wamekwenda kula mandazi sisi hata maji hawatuoi mzee baba ban inawahusuHahaha kama una uwezo wa kuwapa hiyo adhabu tekeleza Mkuu![]()
Kwa waislamu hiki kipindi na lindo hili wanaua ndege wawili kwa jiwe moja.Hatutaki wategaji yaani wamekwenda kula mandazi sisi hata maji hawatuoi mzee baba ban inawahusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah....huku kwa Bi nyau hali ni shwari kabisa...ndani joto tumekaa nje tunapiga domo tuYeah naona mvua imechachamaa pande hizi za Tabata Segerea

Magomeni hiyo. Kwajinsi inavyonyesha huku mpaka sasa nilidhani inaweza ikawa inapiga Dar nzima. 😀😀Dah....huku kwa Bi nyau hali ni shwari kabisa...ndani joto tumekaa nje tunapiga domo tu
Sent using Beretta ARX160
Karibu mkuu, naona uliadimika kiasi👣👣👣👣
0437hrs
Kweli mkuu. Lindo litafungwa soonKuanzia 0200 nipo hapa mkuu, yeah wacha halftime wale mpaka asubuhi mida ya saa mbili huwa wapo hapa😂😂
Mkuu asante kwa kampani. Usisahu mida yetuWasalaam...
Lindo Jema wakuu