Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Chukua ile kubwa ya sigara zote kama vpNgoja nikanunue sigara mazee I will be back kwa sauti ya Arnold Schwarzenegger
Chukua ile kubwa ya sigara zote kama vpNgoja nikanunue sigara mazee I will be back kwa sauti ya Arnold Schwarzenegger
Mbona sikuhizi sitokei kabisa mida hiyo..😀😀Aahhaa wapi. Labda kama sio wewe. Sijui umetega alarm?
OK mtaalamChukua ile kubwa ya sigara zote kama vp
Kwa hiyo ile ratiba ilikuwa ya weekend tu?Mbona sikuhizi sitokei kabisa mida hiyo..😀😀
Ile ratiba haipogo Tena si weekdays Wala weekend.Kwa hiyo ile ratiba ilikuwa ya weekend tu?
Poa ya kinyonge sana yaaniIle ratiba haipogo Tena si weekdays Wala weekend.
Nipo vizuri sana. Sijui upande wako na family yako kwa ujumla wake?
Tunamshukuru MunguNipo vizuri sana. Sijui upande wako na family yako kwa ujumla wake?
Nipo vizuri sana.
Pamoja mkuu