fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,686
- 24,005
Tupo niaje mkuuWanalindo mpooo
Tupo niaje mkuuWanalindo mpooo
Wengi wanatokea mida ya sita mpaka saba baada ya hapo ile dhana ya usiku wa manane hawaiwezi kabisa hahaha
Kukesha nadhani kuna wenyeweWengi wanatokea mida ya sita mpaka saba baada ya hapo ile dhana ya usiku wa manane hawaiwezi kabisa hahaha
Kabisa mkuu, kuna kipindi watu waliokuwa wengi mpaka vidole vinauma kwakujibu quotes maana ni nyingi.
mzee wa kazi upo
jua linachoma kama pasi mzee
daaa kamanda wa anga haulali tuuu?Kabisa mkuu, kuna kipindi watu waliokuwa wengi mpaka vidole vinauma kwakujibu quotes maana ni nyingi.
ohooo mwamba naona bado upo hewan uapepesi jicho 😁😁😁Tukaze buti mazee