Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Fanya ufunge tu. Liko salama
Usingizi yaani
Duh sijakuona siku 2 hivi. Siunajua siku hizi usipoonekana tunajiongezaUsingizi yaani
Nipo na makufuli yangu ya shaba kwa ajili ya kutekeleza hilo jukumu.Fanya ufunge tu. Liko salama
Mkuu una hoja mbadala juu ya ufungwaji wa lindo kwa muda?Ayubu 2:10
10 Lakini yeye akamwambia, Wewe wanena kama mmoja wa hao wanawake wapumbavu anenavyo. Je! Tupate mema mkononi mwa Mungu, nasi tusipate na mabaya? Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi kwa midomo yake.
Haya Leon tuna mfungo tano...tunaenda vyems
Nipo tuDuh sijakuona siku 2 hivi. Siunajua siku hizi usipoonekana tunajiongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mapema sana. Basi nitakuwa nakuamshaNipo tu
Habari za huko ? ikifika saa tano huwa naanza kusinzia
Haha sijui kama nitaamka
Itabidi utuvumilie tu hamna namnaHaha sijui kama nitaamka
NitajitahidiItabidi utuvumilie tu hamna namna
Yeah, muda wa kufunga hakuna ruhusa ya MTU yoyote kupita hapa
Asante mkuu, mambo ya quarantine hayaKaribu mkuu, naona uliadimika kiasi