Sasa selfie mm kule kuingia ni mtihani kidogo nisawa na kuingia kwenye kitchen party mwanaume embu nifanyie hisani hapa basi au PM.
Wapo wengi tu hawajafikia.Nani hajafika hadi muda huu???
Hakuna mwenye mtu humu mzee.Naona humu kila ntu na ntu, sa itakuwaje maskini mimi [emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti kitchen partySasa selfie mm kule kuingia ni mtihani kidogo nisawa na kuingia kwenye kitchen party mwanaume embu nifanyie hisani hapa basi au PM.
Hakuna kulala!Working from room....
wapo wengi inabidi tuhesabu namb kila mtu ashike namb yake 😁😁🤣way back shule ya msingiNani hajafika hadi muda huu???
Karibuu Sana mkuuNaona humu kila ntu na ntu, sa itakuwaje maskini mimi [emoji847]
Kule ni kitchen party tu naona mm huwezi kuweka picha wapi sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti kitchen party
Kuweka hapa siwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha miaka hiiiiiiioooooo ya mchakamchakawapo wengi inabidi tuhesabu namb kila mtu ashike namb yake 😁😁🤣way back shule ya msingi
Nenda kaangalie yangu kule halafu yako uniwekee hapaKule ni kitchen party tu naona mm huwezi kuweka picha wapi sasa?
Aah huu si mtihani unanipa najua mm umepost saa ngapi sasa?
Pekua tu kote utaona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aah huu si mtihani unanipa najua mm umepost saa ngapi sasa?
Naweza kuhamia lindo lingine briefly, just in case mkaona kimya
[emoji23][emoji23][emoji23] Yani huu ndio ujanja unaotumia kuninasa mm dah.Pekua tu kote utaona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasubiri yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona humu kila ntu na ntu, sa itakuwaje maskini mimi [emoji847]