Niambie....
Msamaha si rahisi, hili ombi fikiria
Najua unahisi, ila ni uongo wewe jua.
Niambie....
Hapo sikatai
Jishaue niruke na ww moja 2 umepotea
Tuzungumze lugha nyepesi basi.Msamaha si rahisi, hili ombi fikiria
Najua unahisi, ila ni uongo wewe jua.
Nakuletea yako, kwa ajili yakoHapo sawa hurnda nipata hamu ya maharage maaana miaka ss
Bata ndo ananyama eti kware nooooookwani kware haliki mkuu. Si ndio ana nyamanyama kama kuku?
🐦🐦🐦 kwani kware haliki mkuu. Si ndio ana nyamanyama kama kuku?
Ww urojo si tunakula tukitoka kwenye kazi yetu ya ubandidu au unataka kunikataaa hapaUnadhani mimi ni mla urojo.. jaribu uone![]()
Wepesi sihisi mwasi, kuhisi ni wasi wasiTuzungumze lugha nyepesi basi.
Jazaq ifike salama eti mpaka alfajiri naimani nitakua nayoNakuletea yako, kwa ajili yako
Zawadi hii ni yako, tena yako peke yako
Huko itokako,..........
Najua waniweza, laazizi...Sikuwezi...
Ww urojo si tunakula tukitoka kwenye kazi yetu ya ubandidu au unataka kunikataaa hapa