Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Jibu kama itakikanavyoSwali zito..
ila yeah huwa namiss vitu kama binadamu wengine ila kuna vitu ukishavifukia.. unaachana navyo tu na hutovimiss tu
Jibu kama itakikanavyoSwali zito..
ila yeah huwa namiss vitu kama binadamu wengine ila kuna vitu ukishavifukia.. unaachana navyo tu na hutovimiss tu
Kipya wapi mateso tu saiz mzee [emoji22]Kweli nimeamini kipya kinyemi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hisia zako ni kweli japo wengine wakinikuta wataandamana
Yeah mambo?No see hapo kwako
Tatizo amenisainisha kabisaa makubaliano ya utunzaji siri.. sina namna GoddessNisipopata hilo jalada kesho hapata kucha
Hi Jack!
Poa za kwakoYeah mambo?
Afanyi vizuri kimataifa saiz wakati huu ndio muda mzuri maana watu wapo karantini.Hahah Katibu Drizzle naona kwa sasa humu JF yuko very tight mpk anataka kukimbia chama la wana lkn mwambie kule chamani kuingia hua ni bure lkn kutoka ni next to impossible.
Mzee huwq uchezi na magoli ya info.. kaa pembeni kwanza wakunyumbaJibu kama itakikanavyo
Niaje Chalii?Long time hapa
[emoji2296]kwamba siri sirini[emoji23] nitakugeuka maangamizi yaanzie kwakoTatizo amenisainisha kabisaa makubaliano ya utunzaji siri.. sina namna Goddess
Kwann unaleta taarifa za uchochezi humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeuza siri ya taifa ww dahYeleuwiii mwenyekiti nmefanya nn mm
Shwari tu asee i am back now.Poa za kwako
[emoji2296]kwamba siri irini[emoji23] nitakugeuka maangamizi yaanzie kwako
Lakini hayo si ni majukumu yako mzee Super VillainBan nyingine inakuja mzee wangu chama kinyumba katibu Drizzle hafanyi majukumu yake ipasavyo [emoji23][emoji23]
Ah sijauza bwana na siwezi uza labda waniue ntasemea kaburini[emoji23]Kwann unaleta taarifa za uchochezi humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeuza siri ya taifa ww dah