Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,587
- 81,557
Shwari madame za lindo?Niaje Chalii?
Shwari madame za lindo?Niaje Chalii?
Basi wacha niwe mtazamaji tuMzee huwq uchezi na magoli ya info.. kaa pembeni kwanza wakunyumba
Kule si kupotea ni kutoweka ilikuaShwari tu asee i am back now.
Naona umeamua kutumia advantage ya Corona mzee Super VillainKipya wapi mateso tu saiz mzee [emoji22]
Very well, thank you.
Wacha nimuweke bin laden ss nianze na picha kwanzaAhh wapi .. Super Villain anaogofya hata avatar tu
Salama kabisa...karibu tena.Shwari madame za lindo?
Kimataifa hufanyika vizuri campaign zako.Lakini hayo si ni majukumu yako mzee Super Villain
Very well, thank you.
I spent a lot of time choosing it[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
[emoji854][emoji854][emoji854]
Haya kama ujatoa nitajua wapi pakuanzia mwenye [emoji23][emoji23][emoji23]Ah sijauza bwana na siwezi uza labda waniue ntasemea kaburini[emoji23]
Si unajua mi hunitishi[emoji23] sema kazi unafanya kwa weledii naomba nilete ma file mapyaaaaa mwenyekitiHaya kama ujatoa nitajua wapi pakuanzia mwenye [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha acha ilikuwa ghafla wala sikuplan.Kule si kupotea ni kutoweka ilikua
Corona inatutesa tu.Naona umeamua kutumia advantage ya Corona mzee Super Villain
Ma kweli ni ghafla sema karibu tena hueyHahaha acha ilikuwa ghafla wala sikuplan.
We jamaa Super Villain sio mzima kabisa @😂😂😂😂Afanyi vizuri kimataifa saiz wakati huu ndio muda mzuri maana watu wapo karantini.
Shukrani tupo pamoja.Salama kabisa...karibu tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hakika wanachama lazima wafurahi kipindi hikiHamna kitu huku mzee. Labda ubadili strategy. Tena kipindi hiki cha COVID-19 ndio pakujizoelea wanachama coz interaction hairuhusiwi. Au unasemaje mng'ato
Wewe haikutesi ila unaombea iendelee at least miezi kadhaa mbele ili ufaidi zaidi. Unaombea pia vyuo visifunguliwe. Kweli muhuni sio mtu mzuriCorona inatutesa tu.