Umevuruga kila kitu, wenyewe tulikuwa kwenye mikakati madhubuti kabisa almanusura deal iwe closed mzee kivuruge ukaingia. Hii biashara itabidi tuiendeleze siku nyingine.Siifahamu 😂😂
[emoji23]kulekule ambako hua tunapata veggie soupUrojo naujulia wapi mimi
Hahaaa huna akili[emoji23]kulekule ambako hua tunapata veggie soup
Wewe mzee mbona naskia sauti ya kulalamika kama barakah de princeLazima uhusike tu mzee. Ila kwa sasa wacha nipambane mzee
Akili zilinyeshewa na mvua zikaondokaHahaaa huna akili
Umevuruga kila kitu, wenyewe tulikuwa kwenye mikakati madhubuti kabisa almanusura deal iwe closed mzee kivuruge ukaingia. Hii biashara itabidi tuiendeleze siku nyingine.
😂😂😂 we jamaa nimecheka sana. Unajua VC Super Villain alikuwa anakuulizia sana. Atafurahi kukuona hapa ili apate mawili matatu.Heshima yako mh. Mwenyekiti.
I'm hereKama mchizi Super Villain haumwi basi newcomer anahusika kivyovyote vile au sio simiss ?
Akili zilinyeshewa na mvua zikaondoka
Si unajua zipo kama vumbi[emoji23]
Bei tutamalizia kesho kukiwa hakuna kiwingu.
Hukujua unajua ndio nini sasa. Ndio ushajua sasa.Sikujua najua aiseee
Nikahisi wote wapenda minofu tyuuu