Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Safari ikianza nishtue....Hahahaha ndio uwepo sasa
Safari ikianza nishtue....Hahahaha ndio uwepo sasa
Amen, Asante sana! Haya weka chombo cha sadakaPambana...Mungu ni mwema.
Ambao hatuna cash tunafanyajeAmen, Asante sana! Haya weka chombo cha sadaka
Tuma kwa namba yangu tu
Nikikucheki kwenye voda wanasema umefungiwa kwa muda nitafute njia mbadala ya kuwasiliana na weweTuma kwa namba yangu tu
Achana na vodaNikikucheki kwenye voda wanasema umefungiwa kwa muda nitafute njia mbadala ya kuwasiliana na wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38]kiherehere kwisha kazi niliimaliza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui tukafanye wapi saiz maana safari hii ulininyoisha kweli.
Uliacha kunitolea?Amen, Asante sana! Haya weka chombo cha sadaka
Nilisahau ndugu yangu!Uliacha kunitolea?
Tulia hapo hapo unahitaji maombi ya deliverance
All the best na wewe huko, utuwakilishe vyema kama Group tafadhaliMlinde vyema wapendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah kweli uliniweza wala sikutegemea kabisa niko kwenye mikakati alafu ukaibuka kama mzimu ghafla [emoji91] cheo kimepanda saiz unanyota [emoji93] 1[emoji38]kiherehere kwisha kazi niliimaliza
Bila ww kutarajia