Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,382
Ajasema hataInaanza kutumika lini
Niote mara ngapi jamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah hili ni tatizo siutatoaka vigimbi sasa [emoji17]
Wakichelewesha itakuwa hatariAjasema hata
ha ha ha inawezekana?
Mbona unatoroka,unawahi wapi?Lindo jema
Usijali unaweza ukaongeza kilo ukawa mnene ukaubadili ukaonekana ni mguu wa beer [emoji23][emoji23][emoji23] siku za mbeleni huko.
Mzee umeingia shift saiz unaaga mapema hivi!Lindo jema
Labda anaenda kufumania,unajua hizi kazi za lindo hazieleweki,unatoka wewe anaingia mwingineMzee umeingia shift saiz unaaga mapema hivi!
Nipo hapa toka saa 5 dk 40 mpaka saiz mm ndio nina masaa 3 na dk... Zake [emoji17]Labda anaenda kufumania,unajua hizi kazi za lindo hazieleweki,unatoka wewe anaingia mwingine
UnakimbiaLindo jema
Muache akajenge ndoa saizUnakimbia
Hata sasa upo kama wa bia tuUsijali unaweza ukaongeza kilo ukawa mnene ukaubadili ukaonekana ni mguu wa beer [emoji23][emoji23][emoji23] siku za mbeleni huko.
Mmmmmh saiz mtoto akitunga mida hii atakuwa lazyMuache akajenge ndoa saiz
😂😂😂😁😁👍
[emoji23][emoji23][emoji23] Dah we mwanamke ni noma na nusu lakini shepu hipo huwezi kuwa navyo vyote hivi ww tu kuna sehemu upo vizuri naamini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo anatakiwa atafutwe jua kali?Mmmmmh saiz mtoto akitunga mida hii atakuwa lazy