Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,773
- 209,313
Kila siku...isiponyesha alfajiri, itanyesha mchana au usiku mnene kama hivi.Mnasiku ngapi hiyo mvua imenyesha huko?
Kila siku...isiponyesha alfajiri, itanyesha mchana au usiku mnene kama hivi.Mnasiku ngapi hiyo mvua imenyesha huko?
Siwaoni au ndio mmejificha kwenye fridge?[emoji23] Umefeli wote tupo
Eti Geneva [emoji23][emoji23][emoji23] Baada ya kuvuta ile bangi yenu ndio mnadata nakuita huo mji hayo majina ya ajabu?Wenyewe wanapaita The Geneva of Africa
[emoji23][emoji23][emoji23] Nimemchalleng sana leo hataki hata kuniona basi tu ninemuacha akalale kesho najua hata nikimbia kabisa.Siwaoni au ndio mmejificha kwenye fridge?
Nimekwambia wenyewe "wajuba" ndio wanaita hivyo 😂😂😂😂Eti Geneva [emoji23][emoji23][emoji23] Baada ya kuvuta ile bangi yenu ndio mnadata nakuita huo mji hayo majina ya ajabu?
Akupige tu kisha akuweke kwa fridge[emoji23][emoji23][emoji23] Nimemchalleng sana leo hataki hata kuniona basi tu ninemuacha akalale kesho najua hata nikimbia kabisa.
Nakule kijijini kwenu mnakuita USA [emoji23][emoji23][emoji23]Nimekwambia wenyewe "wajuba" ndio wanaita hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ok nitakutembelea siku mojaWenyewe wanapaita The Geneva of Africa
Hizo nguvu anazitolea wapi sasa [emoji23]Akupige tu kisha akuweke kwa fridge
Hahaha kuna siku kuna mtu aliniuliza hamjambo huko USA...nikamwambia hatujambo habari za TZ.Nakule kijijini kwenu mnakuita USA [emoji23][emoji23][emoji23]
Ur warmly welcomeOk nitakutembelea siku moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha kuna siku kuna mtu aliniuliza hamjambo huko USA...nikamwambia hatujambo habari za TZ.
Alicheka [emoji23][emoji23][emoji23] USA kama USA ( united Streets of Arusha
Vipi hommie#teampopo
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usa river barabara nikimeo gari mbovu [emoji17][emoji23][emoji23][emoji23]
USA mwaka niliokuwepo mie kule hakukuwa na hayo usemayo. Barabara ile ni one way mbovu ilikuwa kipande kipi?Usa river barabara nikimeo gari mbovu [emoji17]
Fresh mkuu..Vipi hommie