Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 5,688
- 11,202
๐ด๐ด๐ด๐ด๐ด๐ด๐๐๐๐๐
Nilishawahi kulala Na mtu anakoroma jamani ile siku nilitamani pakuche haraka, nikawa najipoza kwa kumsukuma kidogo anashtuka anaacha kukuroma. Zikipita dk 10 huyo anaanza tena....ni mateso