Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Karibu mzee.Fresh mkuu..
Karibu mzee.Fresh mkuu..
Kwanini mkuu, ulikuwepo kwenye azimio la beijing kwani.nipo huku japo nikiona hii ID nakumbuka azimio la beijing [emoji4][emoji4]..
Af karibu pia usiwe unaishia threads za snap na kutoa likes lakini
Last seen haidanganyagi kumbeKwanini mkuu, ulikuwepo kwenye azimio la beijing kwani.
Mbona nipo kwenye threads nyingine pia, ila tu huku huwa nakuja mara moja moja.
[emoji23][emoji23] kivipiLast seen haidanganyagi kumbe
Naona story zinaendelea,kudandia treni kwa mbele haifai sheikhKaribu mzee.
Ya kule naonaga ni saa 8 daily. Si nilishawahi kukuuliza?[emoji23][emoji23] kivipi
Huku hakuna formula we bandika kitu watu tutaishi nacho tu.Naona story zinaendelea,kudandia treni kwa mbele haifai sheikh
EhehheheHuku hakuna formula we bandika kitu watu tutaishi nacho tu.
Hii kama sherehe mzee ukizubaa utakosa wali uswailiniEhehhehe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dadeki na hii musoma sasa;usiku sa hizi ni ngombe tu zizini nje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muache tu akorome kama usingizi kaulipiaHivi ushawahi kuwa na jirani anakoroma kama gari bovu? Fikiria kuna ukuta lakini hadi chumbani kwangu namsikia.
Mtu anakoromaaaaaaaaaaaaa
ehh mamilooo kumbe na wewe ni mlost arifuNimekwambia wenyewe "wajuba" ndio wanaita hivyo 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Hivi ushawahi kuwa na jirani anakoroma kama gari bovu? Fikiria kuna ukuta lakini hadi chumbani kwangu namsikia.
Mtu anakoromaaaaaaaaaaaaa