Kwakweli maana Kakosa STARTER.Jamaa atashindwa hata kulanduka
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Shukrani sana Brother, ilikua technical error Jana niliamini nitatoboa ili mchana nikitoka kazini ndio nichukue, kuna super market wanauza pombe kwa bei nzuri sana, nadhani owner ni mwanachama mwenzetu aisee, bapa kubwa anauza 7,000 tuKaka mkubwa ulitakiwa uwe2na stock ya kutosha hasa kipindi hiki cha COVID-19. Unatakiwa kuwa na bapa hata 3 hadi 5 zitasaidia sana nyakati kama hizi. Pole mkuu I feel you.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Kwakweli maana Kakosa STARTER.
Muulize 'Dust' anatumia? Tumfanyie 'Free Delivery'.
Sent using NASA Satellites


swali je itamuwahi akiwa na urahibu? Noma sana uraibu unaweza fanya vitu vya ajabu.Pole sana mkuu sisi ambao tunakesha usiku huu amini kwamba tupo pamoja na wewe katika janga hilo. Ingawa kwa upande wangu nina stock yangu nashusha taratiibu. Hadi kisanuke.Shukrani sana Brother, ilikua technical error Jana niliamini nitatoboa ili mchana nikitoka kazini ndio nichukue, kuna super market wanauza pombe kwa bei nzuri sana, nadhani owner ni mwanachama mwenzetu aisee, bapa kubwa anauza 7,000 tu
Huu sasa ndio undugu, tuwe na umoja kwenye shida na rahaPole sana mkuu sisi ambao tunakesha usiku huu amini kwamba tupo pamoja na wewe katika janga hilo. Ingawa kwa upande wangu nina stock yangu nashusha taratiibu. Hadi kisanuke.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Tafadhali sana nakuomba kwa heshima kabisa uni PM jina la Supermarket. Am serious Brother #HayaMaisha ujue #Quarantine kinyonge sio poa.Shukrani sana Brother, ilikua technical error Jana niliamini nitatoboa ili mchana nikitoka kazini ndio nichukue, kuna super market wanauza pombe kwa bei nzuri sana, nadhani owner ni mwanachama mwenzetu aisee, bapa kubwa anauza 7,000 tu

Wala usijali, nitakutumia picha kwa PM kabla ya saa kumi jioni na price tagsTafadhali sana nakuomba kwa heshima kabisa uni PM jina la Supermarket. Am serious Brother #HayaMaisha ujue #Quarantine kinyonge sio poa.
Cheers
Sent using NASA Satellites
Much Appreciated.Wala usijali, nitakutumia picha kwa PM kabla ya saa kumi jioni na price tags
Hiyo inatokeaga mkuu, kuna siku nilimuota No Escape wakati sijawahi kumuona wala sina mazoea nae kabisa.Nini kinasababisha kuota mtu ambae hujawahi kumuona wala kuwa na mazoea nae.?
04:46 Leo Niko zamu kusafisha choo!

kazi njema mkuu, usafishe vizuri!