Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,244
- 55,830
kwa niniStress was killing me slowly aisee
kwa niniStress was killing me slowly aisee
Pambana mzee nauwakika utaweza overcome hiyo situation.Stress was killing me slowly aisee
Umeshawahi kuumwa Malaria na haujaumwa na Mbu?kwa nini
Na kwako pia miss chiqutitta
Asante simissShukrani and sweet dream ukilala
ha ha ha sasa unahisi nini?Umeshawahi kuumwa Malaria na haujaumwa na Mbu?
Najitahidi, nimekuwa kama mwendawazimu nafurahia kila kitu jambo baya kabisa mimi ni introvert.Pambana mzee nauwakika utaweza overcome hiyo situation.
DahUmeshawahi kuumwa Malaria na haujaumwa na Mbu?

Yani nilianza kupata maradhi ambayo sio ya kuambukiza na wala sijawahi kuwa contacted na vyanzo vyake.ha ha ha sasa unahisi nini?
Kachukue vipimo mkuuYani nilianza kupata maradhi ambayo sio ya kuambukiza na wala sijawahi kuwa contacted na vyanzo vyake.
Cha ajabu maradhi yenyewe ni sawa na kipele kidogo cha kichogo hukioni, hukihisi, hakikusumbui ila watu wengine wanakiona
Wala hata haihitaji vipimo it was stress ambazo ningekupa wewe usingeweza kutembea ungelala tu.Kachukue vipimo mkuu
wapi hukoHii mvua ni kubwa sana mpaka napata uoga sasa
walaini nyie wote wawili. saa 7 hii mmelala
Umefeli wote tupo😂😂😂😂Bora ninenepe nifukie hizi soap dish juu ya kifua asee .. af Super Villain kajuaje huyu kama watu hatuna nyama au umeuza siri ya kambi kwa ahadi hewa za kopro Depal
Mnasiku ngapi hiyo mvua imenyesha huko?Hii mvua ni kubwa sana mpaka napata uoga sasa
Wenyewe wanapaita The Geneva of Africawapi huko