Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Acha ninenepe tu huu wembamba siutaki tena simiss unaitwa huku.
Acha ninenepe tu huu wembamba siutaki tena simiss unaitwa huku.
Wazee wa buza washafunga mvua teyariNaona wakuu mnarejea na tochi zinazofifia mwanga huku mmevaa makoti marefu ya mvua,bila kusahau magambuti miguuni
ha ha ha hawataki shidaWazee wa buza washafunga mvua teyari
Acha na hao wazee kabisa.ha ha ha hawataki shida
Depal kaotea tu lakini sijauza siri za kambi kabisa mzee wangu [emoji23]Bora ninenepe nifukie hizi soap dish juu ya kifua asee .. af Super Villain kajuaje huyu kama watu hatuna nyama au umeuza siri ya kambi kwa ahadi hewa za kopro Depal
Wanazimishaje mvua mkuu?Acha na hao wazee kabisa.
Uko poa we mrembo?
Vere poaUko poa we mrembo?
Njoo buguruni malapa nikupeleke ukaone maajabu mwenye.Wanazimishaje mvua mkuu?
Umepona?Vere poa
Kabila langu halipo hapa unazani kwann sipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1427354
ha ha ha kwenye korona imeshindikana?Njoo buguruni malapa nikupeleke ukaone maajabu mwenye.
Kabila langu umetukosea sana 😂😂[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1427354
Kabila langu halipo hapa unazani kwann sipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]