simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani mm nakosa gani hapo mwambie alifanya haya mambo hapa.
😂😂😂😷😷😷😷😷 nakoronica mzee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani mm nakosa gani hapo mwambie alifanya haya mambo hapa.
Inamaana uko safe sana kunizidi mm sio bora nisionge kabisa hapa [emoji22][emoji23][emoji23][emoji23][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40] nakoronica mzee
Uko poa we mama?00:56hrs
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hao wanahusika na nn tena mzee wangu dah nimeishi [emoji17]
Hutonipata siku hiyo nakuweka ignore tu [emoji23][emoji23][emoji23]Utaelewa tu siku enyewe.. kazi zinakushinda mzee
Na kwako pia miss chiqutittaMbarikiwe nyote
Mbarikiwe nyote
Haya kama vipi nimlete bro aje tufunge turubai hapo maskani basi au nije mwenye kama vipi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeap kesho kutwa nayo ni siku champ
Ee stress ina athari kubwa kuanzia kwenye afya ya mtu na mwili mzima kiujumla.Hivi kumbe stress zinaweza kumsababishia madhara makubwa sana mtu kuliko anayoweza kusababisha anopheles?
Stress was killing me slowly aiseeEe stress ina athari kubwa kuanzia kwenye afya ya mtu na mwili mzima kiujumla.