Papaa007
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 1,105
- 1,752
Hadi saa ngapi?
Shukrani sana, ndio nimetambua leo kuwa ni usiku wa manaani na sio manane[emoji134]Theluthi ya mwisho ya usiku, na kulingana na mahali ulipo.
Sahihi, ni "Usiku wa Manaani" sio "Usiku wa manane".
Ahsante.
Hunizidi mimi, unafichwa na nani?Nimekumiss sana
Nadhani ukikosa usingizi tu
Inapendeza, tuko pamoja.Shukrani sana, ndio nimetambua leo kuwa ni usiku wa manaani na sio manane[emoji134]
Lockdown na barakoa tu ndiyo zinatuficha.Hunizidi mimi, unafichwa na nani?
Daaah barakoa zishaleta balaa sasa[emoji134][emoji134]Lockdown na barakoa tu ndiyo zinatuficha.
Lakini nakumiss kila siku....
Ntakuwa nakufuata kukusalimia.Daaah barakoa zishaleta balaa sasa[emoji134][emoji134]
Usijifiche sana bwana.
Hayo ndio maneno sasa.Ntakuwa nakufuata kukusalimia.