Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,961
Walinzi wako Bar!!!
Unasusa mzee kijana?Nafunga lindo, dadeeki siwezi baki alone hapa, nyie mnakula mema ya nchi na "Corona" zenu tu huko!
Hasusi mtu hapa wewe, karibu kinywaji!!Unasusa mzee kijana?
Ukiendeleza maombi...Kwa style hii unaweza kuvua nguo ukae uchi asikuone mtu
Nimeshiba. AsanteHasusi mtu hapa wewe, karibu kinywaji!!
Nimeshamaliza maombiUkiendeleza maombi...
AminaNimeshamaliza maombi
Sijambo za kwako?
Nafunga lindo, dadeeki siwezi baki alone hapa, nyie mnakula mema ya nchi na "Corona" zenu tu huko!
Good! Accepted!!Usifunge mkuu, bado mapems
👣👣👣👣👣Au watu wako kwenye mkesha wa msiba???
Kha!👣👣👣👣👣
Nipo kabisaaKha!