Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,960
Sikujua kuwa unajua mistari mitamu hivi, au umetumiwa na MTU?
Sikujua kuwa unajua mistari mitamu hivi, au umetumiwa na MTU?
Nadhani ukikosa usingizi tuUsiku wa mnane huanza saa ngapi?
Hapana sijatumiwa nimetoka kusoma si mudaSikujua kuwa unajua mistari mitamu hivi, au umetumiwa na MTU?
Nimekumiss sanaUsiku wa mnane huanza saa ngapi?
Theluthi ya mwisho ya usiku, na kulingana na mahali ulipo.Usiku wa mnane huanza saa ngapi?
Yamekukkuta yepi Rafiki yangu? Hebu njoo inbox sio kwa ulokole huu wa ghaflaHapana sijatumiwa nimetoka kusoma si muda
Itabidi tumrudie Mungu ndo tumaini pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Yamekukkuta yepi Rafiki yangu? Hebu njoo inbox sio kwa ulokole huu wa ghafla
We jamaa eti unatoa wosia. Inabidi uuandike kabisa kwamba Drizzle namkabidhi my wife na Super Villain shamba lipo mgeta huko Moro akaendeleze kilimo.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk




Nimewekwa self isolation na ninyi.@smiss huyu mzee wa Msamvu hadi Kihonda Super Villain leo sijamsoma anga hizi. Asije akawa ametwekwa na akina Halima ukizingatia hali ya hewa iko very convincing
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Don Clericuzio nakuona uko eneo la tukio
Hahaha nothing reallyYamekukkuta yepi Rafiki yangu? Hebu njoo inbox sio kwa ulokole huu wa ghafla
Yamekukkuta yepi Rafiki yangu? Hebu njoo inbox sio kwa ulokole huu wa ghafla
Kama hivi jamaa yangu, tuko mapumziko ya lazmaNipo mkuu, mambo yanaenda aisee?
Kama hivi jamaa yangu, tuko mapumziko ya lazma
Rowin
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Utavuna ndizi na soko litakuwa pale mabibo. Nitakuwa nakuja kununua.


