JamiiForums Usiku wa manane
Usiogope mzee. Kufa hakuna tarehe wala muda maalum. Be ready.

Super Villain please lea mtoto kama yupo mzee. Sio poa ujue.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk

Siogopi kufa. Naogopa kuondoka kabla ya kufanikisha hata moja ninalolifikiria

Kufariki huku unahitajika na watu flani.. siez imagine mzee bora niitwe muoga
 
Back
Top Bottom