fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,873
- 24,476
Pole ya nini tena mkuu? Kuna majanga ama?!
Pole ya nini tena mkuu? Kuna majanga ama?!
[emoji23][emoji23][emoji23] Basi ile T-shirt[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile glass labda umodify.. haikufai
True Binadamu hatupo sawa na tuna mahitaji tofauti... anachoeza vumilia vila ni tofauti na mimi na apendacho pia vile vile ..
Ni sawa na mtu aseme anapenda aliyetulia sana, mwingine anaona mtu wa hivyo ni boring you see [emoji4][emoji4]
Nitajitahidi mkuu, ngoja niangalie upepo inaendaje wa hapa lindoniUnatakiwa ufunge geti sasa leo
Naona umeamua kuruka viunzi [emoji3][emoji3][emoji3]Sina experience na manzi yoyote humu mzee. Naamini waliopo humu ndo waliopo mtaani , wabaya wazuri wapo [emoji4].
mengine ni jokes tu
[emoji23][emoji23][emoji23] umeona eee.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Sijawahi pata hiyo case toka nazaliwa wala kuambiwa [emoji41]Kwani kuna kesi yoyote ulishaambiwa kuwa ana mimba yako mzee?
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Pole mkuu, usijali mambo yatakuwa okay.
Kila mtu ana vitu vimfanyavyo ajisikie furaha na karaha pia. Hivi vyaweza kuwa kwako ni karaha kumbe kwake ni furaha and vice versa is always true.
Rowin umemuona lakini? [emoji41]Nitajitahidi mkuu, ngoja niangalie upepo inaendaje wa hapa lindoni
Hili tatizo na kila siku lazima tuzinguane na boss wangu. Huwa anatoa maelekezo yakufuata lakini lazima nitakengeuka. Kwa mfano kutuma email kwa watu wengi kwa ajili ya approval naonaga jau. Namtumia yeye tu then namwambia wengine washakubaliana nalo.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Ukiona umedanch jua mission yako iko accomplished. Unarudi kuwa mafuta na gas ya miaka 20 ijayo.To go back where? Do you know where you were? Do you know your mission in here?
How do you know that you have accomplished what brought you here?
This is a starting point..... Let's go
Hii sentensi yako ni simple, ila imebeba ujumbe mzito sana.🤔🤔
Yule nani je awww leo unamkana mzee wangu [emoji17]Sina experience na manzi yoyote humu mzee. Naamini waliopo humu ndo waliopo mtaani , wabaya wazuri wapo [emoji4].
mengine ni jokes tu
Hii wapi mkuu?View attachment 1425251View attachment 1425252Wapendwa katika bwana mnaona wenzetu wanavyoweka lenta ya nyumba?
Kwani ww siunataka urithi mbona maswali mengi [emoji16][emoji35][emoji35][emoji35] kwa hiyo unataka kusema kwamba simiss ameungua?
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk