JamiiForums Usiku wa manane
Na hao wanaohitaji mara nyingi sana huwa hawadumu. Inawezekana pia mission iliyokuleta duniani ishakamilika. So what are you waiting to go back?

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
To go back where? Do you know where you were? Do you know your mission in here?
How do you know that you have accomplished what brought you here?
This is a starting point..... Let's go
 
True dat mzee..
Mtu anakuwa si mzuri kuongea yaani bora kuviandika. Ila kwangu mimi naona ni kama vile introverts wanakuwa hawahitaji sana approval kutoka kwa watu wengine na ile ability ya kuishi independently inawafanya waone kuwa "si lazma kueleweka na watu wengine"
Hili tatizo na kila siku lazima tuzinguane na boss wangu. Huwa anatoa maelekezo yakufuata lakini lazima nitakengeuka. Kwa mfano kutuma email kwa watu wengi kwa ajili ya approval naonaga jau. Namtumia yeye tu then namwambia wengine washakubaliana nalo.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
857422556_397236.jpg
Rose
 
Sure thing ni vile mtu anavyo perceive

Sent using Jamii Forums mobile app

True Binadamu hatupo sawa na tuna mahitaji tofauti... anachoeza vumilia vila ni tofauti na mimi na apendacho pia vile vile ..

Ni sawa na mtu aseme anapenda aliyetulia sana, mwingine anaona mtu wa hivyo ni boring you see 😊😊
 
Back
Top Bottom