Tamaa gani sasaTutazinguana wenyewe kwa wenyewe. Komaa na utakachoandikiwa sio unaweka tamaa kwenye urithi wangu.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk

Na hao wanaohitaji mara nyingi sana huwa hawadumu. Inawezekana pia mission iliyokuleta duniani ishakamilika. So what are you waiting to go back?Siogopi kufa. Naogopa kuondoka kabla ya kufanikisha hata moja ninalolifikiria
Kufariki huku unahitajika na watu flani.. siez imagine mzee bora niitwe muoga
Aisee wenyewe wanasema Until Further Notice....Yaani si mchezo, halafu hata hatujui mwisho lini.
Siku mnakutana na tecno imezungushiwa rubber band plus mnaambiwa nilikuwa nasubiria upadrisho ndo mtaelewa somo




Tumeisha mzee wangu kama mambo ni haya DrizzleNaona mzee smart introvert umeibuka. Hebu eleza kwa nini inakuwa hivyo? Na wasiowaelewa huishia kusema ni wabinafsi. Toa ufafanuzi mkuu.Nakuunga mkono katika hoja yako
Introvert wanaonekana hawapendi kushare vitu waziwazi. Sio kwamba hawana makini la hasha. Ila nadhani ni ile hali ya kuona noma mbele za watu.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Hapo badala ya kukuzika tunakuchoma moto.Siku mnakutana na tecno imezungushiwa rubber band plus mnaambiwa nilikuwa nasubiria upadrisho ndo mtaelewa somo
Daah sio poa z😂😂Hapo badala ya kukuzika tunakuchoma moto.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Mbona kama unatumia ile defensive mechanism mzee. Toa maelezo yaliyonyooka usaidiwe.Huyo baby mama mwenye mtoto wangu aniletee nilee basi kama mnamjua.
Unahitaji tukusaidie
My wife wake kaniahidi mimi wewe unaanza kushoboka. Omba shamba lako la mgeta mzee.Tamaa gani sasa![]()
Na hao wanaohitaji mara nyingi sana huwa hawadumu. Inawezekana pia mission iliyokuleta duniani ishakamilika. So what are you waiting to go back?
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Komaa mzee baba. Unaweza pata zawadi ya ushindi.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Swala ni kwamba sijawahi mpa mimba mwanamke yeyote leo hii ndio nasingiziwaMbona kama unatumia ile defensive mechanism mzee. Toa maelezo yaliyonyooka usaidiwe.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk

Nakomaa nae hadi atuonyeshe pesa kaweka wali. Sio kwa kula bata namna ile halafu akose cha kuturithisha.