Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,355
- 95,749
Sio mbaya pia...mpe Hi [emoji125]
Tusali jumuia, kuiombea familia, jirani, na nchi ,Mungu atuepushe na corona
Sio mbaya pia...mpe Hi [emoji125]
Tusali jumuia, kuiombea familia, jirani, na nchi ,Mungu atuepushe na corona
Amina Baba Mtumishi 🙏Tusali jumuia, kuiombea familia, jirani, na nchi ,Mungu atuepushe na corona
Amka ujiandae, anza kusali sala ya Asubuhi sasa, mambo vipi lkn ?Ndio mkuu ila jumuiya ni saa 6:30
Hahahaha, ahsante Mama MtumishiAmina Baba Mtumishi [emoji120]
Kha!Ladha kama ipi? Upendo FM nikijua Mwakasege yuko Live nasikiliza. Safina zile shuhuda zao kuna muda zinanitoa nje ya mstari 😅😅😅
Hapa kuna Mohans wine tu
Hahahaha, kuna wine gani hapo karibu ,nije kudoeaLadha kama ipi? Upendo FM nikijua Mwakasege yuko Live nasikiliza. Safina zile shuhuda zao kuna muda zinanitoa nje ya mstari [emoji28][emoji28][emoji28]
Hapa kuna Mohans wine tu
Mohans...na dompo nusu 🏃Hahahaha, kuna wine gani hapo karibu ,nije kudoea
Hahahaha, safi sana, siku moja nitakutumia huo mzigo uunywe pekee yako hm hapoMohans...na dompo nusu [emoji125]
[emoji106][emoji106]
5:08
Smart911 takusaidia
Wewe una mtandao upi tigo au? [emoji3][emoji3]
Vodaocm wengi mnauonaga ni mtandao wa kizee...
Cc: mahondaw
Mtandao wa kidingi sana ule, nilishajaribu kuutumia ukanishinda.
Tigo (live it, love it)
Halotel but nishaichoka nayo nataka kwenda Airtel
Unamaanisha bibi hawezi kuwa mzee ?Huyu ni ke sio mzee ni bibie!
Nilimuita tu na yeye aje lindoni siyo anamuacha mzee lindoni peke yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Smart Kwani unatumiaga tigo?[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] ?[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126] siijui hio tigo yako asee
Sent using Jamii Forums mobile app