JamiiForums Usiku wa manane
Jana niliota ndoto kwa kiingeza na nilikuwa fluent kweli kweli. nalala sasa, mniombee tena leo niote ndoto kwa lugha ya kibeberu. Maisha matamu sana, yaani napata English class ndotoni.
Halafu cookie ulale leo, utazeeka kwa kukesha kila siku.
Tutaonana kesho tukijaaliwa.

Hahaha uote hivyo tena leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom