Sijakuelewa, hapa ulikuwa una mjibu nani ?ya fungate
Sijakuelewa, hapa ulikuwa una mjibu nani ?ya fungate
Nakujibu wwSijakuelewa, hapa ulikuwa una mjibu nani ?
Yani kitendo cha kumpa ruhusa tu mzee Smart911 apige miselee akirudi akupe haki yako basi wewe huna shida hilo linatosha yeye kujivunia kikupata wewe maana kwa sasa kumpata mrembo mwenye moyo huo ni nadraWacha bwana kumbe!!? ? Kapataje sasa ebu Ning'ate sikio ila usiniumize tasavali! Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uwepo wako lindoni ni muhimu sana usikimbieKulala mapemaa
Kesho ni j3 ya mask
Murndelee na lindo salama
Poa poa.Nakujibu ww
Alamsik
Haukuelewa da'waa ni nn muftiPoa poa.
Kesho nitachelewa kuvaa mask nikilindaMkuu uwepo wako lindoni ni muhimu sana usikimbie
Sawa mkuu, nikutakie usingizi mwema na njozi njema kumbuka kulinda hata hiyo mask yako tu usije ukaamka usiikuteKesho nitachelewa kuvaa mask nikilinda
ulinzi wa barakoa muhimuSawa mkuu, nikutakie usingizi mwema na njozi njema kumbuka kulinda hata hiyo mask yako tu usije ukaamka usiikute
Sikuelewa kabisa, nikasema da'awa gani tena muda wa kulala huu. ?Haukuelewa da'waa ni nn mufti
Dhikri usiku kuchaSikuelewa kabisa, nikasema da'awa gani tena muda wa kulala huu. ?
Ni kipare hichoHivi "Barakoa" ni Kiswahili hiki sio ?
Acha kabisa,hiyo kazi sotaiweza aisee, usiku tena ?Dhikri usiku kucha
Jaribu tena
Ngoja nitawauliza Wapare, maana wewe katika hili sikuamini kabisa.Ni kipare hicho
Aisee kwa nini huniaminiNgoja nitawauliza Wapare, maana wewe katika hili sikuamini kabisa.