Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
Nilipo ipoMvua ipo uko muliko?
Nilipo ipoMvua ipo uko muliko?
Niambie mkwe, mzima?
Hahahaha, hujazoea tu bado wkt ulipita depo
Kabidhi silahaLindo limefungwa
Unaanzaje kuamka na mvua inanyeshaNilipo ipo




Mkuu unatupa tabu sana tulio job night na haka ka barid unaweza ukaanza kupiga puchu kwa job![]()
Comment zenu zinatutia kwenye ushawishi wa kuzini
Nawaonea wivu sana ninyi wezangu..Yaani natamani sana ningekua ninauwezo wa kuongea kila nachotaka kuongea mbele za watu bila kujali mtu.
Hongereni sana, wenzangu mliumbwa vizuri
Ukiangalia vizuri shida yangu kubwa ipo kwenye mawasiliano.. Sijui how to commun..Pole sana mkuu. . Sometimes huwa unalalamika hadi unatia huruma !!
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Smart911 hapa amepata haswaa kazi kwake wenye wivu wajinyonge tuuuSijaelewa Kiaje mkuu? Kwa sababu hapo points ni kwamba sipendi kuzurura zurura kama sina kazi most of the time napenda kukaa nyumbani na usiku huwa nalala mapema sana sisubili au kumfatilia mwanaume azurure weeeeee akirudi yeye anipe haki yangu kisawasawa tu
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiangalia vizuri shida yangu kubwa ipo kwenye mawasiliano.. Sijui how to commun..Pole sana mkuu. . Sometimes huwa unalalamika hadi unatia huruma !!
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiangalia vizuri shida yangu kubwa ipo kwenye mawasiliano.. Sijui how to commun..
Kusimama na kuongea mbele za watu shida sana na nikiongea I worry about every word.
Sio siri Hua naonea wivu ninyi mnaoweza kuongea kila mnachojisikia bila kujali..Imagine mm hua naandika nipo normal sometimes niko nasmile kabisa ila naambiwa nalalamika. Ila mm sioni kabisa
Good morning! !Smart911 hapa amepata haswaa kazi kwake wenye wivu wajinyonge tuuu
Smart911 hapa amepata haswaa kazi kwake wenye wivu wajinyonge tuuu
😁😁😁Umejua kutukomesha Leo nalipiza
Pole sana mkuu . .hii baridi usiku hakuna kutoka kiunoni kwa mtu asee
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app