Am guuud nna habari njema kwanza[emoji4]Kitambo kweli.
Mzima kipenzi?
RoryMwanzo alikuwa nani
Bado...ndio nakiendea kitanda...sijachelewaRowin [emoji7]haujalala
Aah unalala asubuh kabisa yaniBado...ndio nakiendea kitanda...sijachelewa
Anasubiri kufunga lindo, leo kashika zamuRowin [emoji7]haujalala
[emoji4]kwakweli kufunga lindo sio kazi ndogoAnasubiri kufunga lindo, leo kashika zamu
Mimi mzimaaaaa nashukuru.Am guuud nna habari njema kwanza[emoji4]
Hali yako
Kabla jua kuchomozaAah unalala asubuh kabisa yani
5kg down[emoji7][emoji7][emoji7]Mimi mzimaaaaa nashukuru.
Hiyo habari njema...nishaipoke.
Hongeraaaaa....
Haya tuambizane.
Mzee kijana...za kuamka?05:05am
Jua lina masaa2 linatoka naimani utaliwahKabla jua kuchomoza
Dada ulipona?!5:06
Yooooo....that's my girl....5kg down[emoji7][emoji7][emoji7]
Hiki cheo kitaninyima bahati nyingi, haya nzuri sana. Nimekuja kufunga lindoMzee kijana...za kuamka?