Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Yes dear..Dada ulipona?!
Yes dear..Dada ulipona?!
Hongera aiseeYes dear..
Hata mimi naona...kikunyime tu...Hiki cheo kitaninyima bahati nyingi, haya nzuri sana. Nimekuja kufunga lindo
Yooooo....that's my girl....
Well done!!!!
Nakuonea wivu ... hongera mno....tujitahidi hii lockdown isije haribu
ahsante ukiona nnavyo pambana uwiiii sitaki kuamini ni mm kabisaAhsante mpendwaHongera aisee
Kha! Kininyime tu? Silaha hazina shida. Tujiandae kwa kwenda kuombea CoronaHata mimi naona...kikunyime tu...
Usijali kufunga...tukusanyie silaha...na warudishe warembo manyumbani kwao.
Haturudi nyuma....ahsante ukiona nnavyo pambana uwiiii sitaki kuamini ni mm kabisa
Ikiharibu nitasononeka maana najitahidi na mazoezi nje kidogo
Haturudi nyuma....
Nakuletea ka black-dress kakupe hasira mpaka kakufit.

aww nakasubiri jamanMzee Kijana....tangulia...mimi nitaomba nikiwa nyumbani.Kha! Kininyime tu? Silaha hazina shida. Tujiandae kwa kwenda kuombea Corona
Jamani mie Nina miaka 28 tu sasa kwanini usianze na kijana? Mi bado barubaru kabisa. Sadaka tuma tu nitakusaidia kupelekaMzee Kijana....tangulia...mimi nitaomba nikiwa nyumbani.
Natanguliza sadaka ya Shukrani
Ilai ubarikiwe sana....usisahau kuliombea Taifa.Jamani mie Nina miaka 28 tu sasa kwanini usianze na kijana? Mi bado barubaru kabisa. Sadaka tuma tu nitakusaidia kupeleka
All the best kwa utukufu wa asubuhi5:23
Muda mwema wapendwa..usingizi wanivuta.
Mapumziko mema.5:23
Muda mwema wapendwa..usingizi wanivuta.
Dah! Haya asante sana DadaIlai ubarikiwe sana....usisahau kuliombea Taifa.
AhsanteMapumziko mema.