HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Sawa kamanda. Hii mvua inafanya lindo linakuwa gumu haswaaa!Tupo tunaimarisha ulinzi pwani ,ya kusini magharibi ,na fiber boat
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kamanda. Hii mvua inafanya lindo linakuwa gumu haswaaa!Tupo tunaimarisha ulinzi pwani ,ya kusini magharibi ,na fiber boat
Mawazo gani?
Hahaha nitawezaUtaeza kweli wewe
Tumezipokea salamu zako kwa jina la bwanaNawasalimu katika jina la bwana
[emoji120][emoji120][emoji120] Amen
Muda bado, vuta subira kidogoNaweza kufunga lindo?
Mtaniamsha ukifika mdaMuda bado, vuta subira kidogo
Ni saa moja tu limebakia, nitafunga kwa niaba yako usiwe na shakaMtaniamsha ukifika mda
Figure ikiharibika hua tunakula tizi inakaaa freshUna maintain figure,robo inakutosha
We miyeyusho ujue[emoji23][emoji23][emoji23] nikajua unaogopa kufa kwa manatiWamefichwa na corona [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante... funguo mwachie KhantweNi saa moja tu limebakia, nitafunga kwa niaba yako usiwe na shaka
[emoji23][emoji23][emoji23] mpaka nmaka taya zinauma lohUkiwa mtu mzima si utaonja scania zima?