Ila mwili unazeeka kwa kutoupumzisha0409 lindo la Leo shwari sana. Ushirikiano wa hali ya juu
Sawa mkuuHaya mapopo wenzangu tunaoisindikiza mvua na smartphones zetu vitandani nami Sina budi kuwaaga.
Sio kama nalala bali muda wakuconcentrate katika kitu kingine.
Kabisa mkuuUje na tiba mkuu
Dah... sorry kiongoziOya mi mwanaume wewe, mbona unaniita belle (beautiful/pretty)?
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"

Yan mliopo hapa mnataka kutuaminisha kwamba hammiliki ma duvet yanayo pumua....🏃🏃
😅😅😅 bundle la usingizi limekata
Na wale waliopona?
😂😂😂😂😂🏃🏃 hebu rudi ulale