Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
Mtandao wa Voda sina kabisa. Hata ningekuwa naweka hizo GB bado mimi Data ningezima.
Sijui nani alinifundisha, nimeshazoea kuzima zima.
Mtandao wa Voda sina kabisa. Hata ningekuwa naweka hizo GB bado mimi Data ningezima.
HahahNimekushindwa. Narudi zangu
Ladha kama ipi? Upendo FM nikijua Mwakasege yuko Live nasikiliza. Safina zile shuhuda zao kuna muda zinanitoa nje ya mstari 😅😅😅Uwe unajaribu ladha nyingine pia! Umezoea vipokeo?? Una konyagi hapo?
Mtandao wa kidingi sana ule, nilishajaribu kuutumia ukanishinda.
Unataka kulala asubuhi mkuuMimi hapa ni mzimaji mkuu nahisi, kama hapa sahii nikitaka kulala nazima naweka simu huko nalala...
Umeanza!! 😂😂😂
Nmekuja kuwasaidia kufungasha na hii mvua msiloe wenzangu
Ndio...hali ya hewa inaruhusu kuendelea kulala
😅😅😅