Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
[emoji23][emoji23][emoji23] Bado hujui hata system inayoenda lockdown unaijua ww na gharama zakeYaani kila nikiwaza nakosa majibu ya haraka kwanini hatukufunga mipaka na kuzuia safari za ndege kuingia nchini at first place wenzetu/majirani walipoanza kuripoti cases zao?! [emoji848]
Tumejitakia yenyewe, I better only listen to experts kuliko hawa wanasiasa[emoji36][emoji36]