Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Na hivi siku zimeongezwa nahisi nitapasuka..Hadi nimemis kupika chai
![]()


Naliona hilo shavu kama linadondoka mpaka kwenye bega hapa.Na hivi siku zimeongezwa nahisi nitapasuka..Hadi nimemis kupika chai
![]()


Naliona hilo shavu kama linadondoka mpaka kwenye bega hapa.Hili nakubaliana nalo. Magonjwa ya viro ni mugumu sana kutibika. Mara mia yasababishwayo na bacteriaHakuna dawa wala chanjo ya kuuawa virusi moja kwa moja mzee jua kwanza hili.
bora ukimwi utauguzwa uguzwa,sasa hiyo ya kubana mbavu na kuzikwa na mamlaka ndio shida zaidiHakuna dawa wala chanjo ya kuuawa virusi moja kwa moja mzee jua kwanza hili.
Haya tusubirie yatakayojiri. Watu watajitoa sadaka wenyewe
Virus huwa wanalala hawafai ukipungukiwa kinga tu wanaamka anafanya upuuzi wao tenaHili nakubaliana nalo. Magonjwa ya viro ni mugumu sana kutibika. Mara mia yasababishwayo na bacteria

Ndio maana nawaambia watu jukumu la ulinzi wa afya yako ni ww mwenye.bora ukimwi utauguzwa uguzwa,sasa hiyo ya kubana mbavu na kuzikwa na mamlaka ndio shida zaidi
Ndiomana wenye magonjwa nyemelezi wakikutwa na kidudu huyu kusurvive ni ngumu.Virus huwa wanalala hawafai ukipungukiwa kinga tu wanaamka anafanya upuuzi wao tena![]()
Pamoja na hivyo serikali ilipaswa kufacilitate mazingira ya kujikinga tangia mwanzoNdio maana nawaambia watu jukumu la ulinzi wa afya yako ni ww mwenye.
Hii kitu haifai, huwa nikianza kuiwaza naskiaga kama kabanwa mapafu. Hofu zitatuuabora ukimwi utauguzwa uguzwa,sasa hiyo ya kubana mbavu na kuzikwa na mamlaka ndio shida zaidi
Sana wenye uwafadhali ni watoto tu.Ndiomana wenye magonjwa nyemelezi wakikutwa na kidudu huyu kusurvive ni ngumu.
Don't be afraid maana hakuna namna zaidi ya kujipa moyo.Hii kitu haifai, huwa nikianza kuiwaza naskiaga kama kabanwa mapafu. Hofu zitatuua
Tuombe Mungu tu kilichobaki mzee jana nilisikia na ebola imeanza tena CongoPamoja na hivyo serikali ilipaswa kufacilitate mazingira ya kujikinga tangia mwanzo

😀😀😀😀 full Raha ila haliwezi anguka nipo makiniNaliona hilo shavu kama linadondoka mpaka kwenye bega hapa.
Unaponaje kwamfano ukiwa na virusi mwilini mwako kinga ikipungua wanaamsha dude tena mzee achana na virusi.
Hapana mkuu hata watoto nao wana immune ndogo tofauti na like la 14-35. Wao pia wako vulnerable to this diseaseSana wenye uwafadhali ni watoto tu.
Kuna siku ilinilazimu kwenda kwenye mizunguko hatarishi yale mawazo nikaanza kuumwa...eti nahisi kabisa maumivu,,,,nikihangaika kumbe stress tuuDon't be afraid maana hakuna namna zaidi ya kujipa moyo.
full Raha ila haliwezi anguka nipo makini



Nitakuja na mizani corona ikiisha nijenikupime uzito