Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Hehehe Mimi na uzururaji vitu viwili tofautiIla bora maana alizoea kuzurura wakati kila siku anasisitizwa maintain social distance😊😊
Hehehe Mimi na uzururaji vitu viwili tofautiIla bora maana alizoea kuzurura wakati kila siku anasisitizwa maintain social distance😊😊
Yeah kama umekata hapa ndipo mahali pale kwa kujiburudisha mkuu. Karibu sanaHatuna usingizi 😋😋
😋😋 karibu tu mkuu utoe tiba ruksaKweli watu hatuna mbobji
Especially na gonjwa hili linavyochukua kasi. Amri ya Lockdown ikitolewa sijui inakuwaje kwa tunaotegemea hand to mouth jobs dahMkuu tunawaza maisha yanavyokwenda kasi,usingizi utapatikana vipi?
Na mvua nayo imekata😔Ndio kwanza saa 9 hii
Kesho nakuja kukupa kampani mamii. 😊😊Hehehe Mimi na uzururaji vitu viwili tofauti
ha ha ha ha tiba ni gharama,si unajua kuna wengine wanatesa miili yao muda huu kutafuta tiba ya hili gonjwa?😋😋 karibu tu mkuu utoe tiba ruksa
Kwetu huku ipo labda kwenu tu huko.Na mvua nayo imekata![]()
Wanasema muda wa wenyewe huu😂😂
Nakuja anywayHapana
Kampani yenye kero siitaki etiKesho nakuja kukupa kampani mamii. 😊😊
Ngoja nipambaneJiongeze baharia, unasubiri ruhusa wakati yna2 anahitaji kubembelezwa
Mkuu hili jambo lisikie mbali,tutakufa na njaa + mawazo n.kEspecially na gonjwa hili linavyochukua kasi. Amri ya Lockdown ikitolewa sijui inakuwaje kwa tunaotegemea hand to mouth jobs dah
Fanya hivyo na mvua imepumzika Yaani ni chap kwa haraka😉😉Ngoja nipambane
Naelewa naelewe... Ni kweli kabisa 😂🙌🙌ha ha ha ha tiba ni gharama,si unajua kuna wengine wanatesa miili yao muda huu kutafuta tiba ya hili gonjwa?
Unauwakika gani kuwa huu ndio muda Grim Reaper ndio anapita?
Yaani kila nikiwaza nakosa majibu ya haraka kwanini hatukufunga mipaka na kuzuia safari za ndege kuingia nchini at first place wenzetu/majirani walipoanza kuripoti cases zao?! 🤔Mkuu hili jambo lisikie mbali,tutakufa na njaa + mawazo n.k