fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,686
- 24,004
Hapana mkuu hata watoto nao wana immune ndogo tofauti na lile la 14-35. Wao pia wako vulnerable to this diseaseSana wenye uwafadhali ni watoto tu.
Hapana mkuu hata watoto nao wana immune ndogo tofauti na lile la 14-35. Wao pia wako vulnerable to this diseaseSana wenye uwafadhali ni watoto tu.
Mtu mzima ukipata hile kama una pressure, magonjwa ya moyo, sukari, ukimwi nk.. inakupelekesha sana corona tofauti na mtt anakuwa anapambana nayo corona tupu.Hapana mkuu hata watoto nao wana immune ndogo tofauti na like la 14-35. Wao pia wako vulnerable to this disease
😂😂😂😂Nitakuja na mizani corona ikiisha nijenikupime uzito
Inasikitisha sana,cha muhimu ni kujihami tu hakuna namnaHii kitu haifai, huwa nikianza kuiwaza naskiaga kama kabanwa mapafu. Hofu zitatuua
Like eneo ni la kimkakati kwa mataifa yanayofaidika na rasilimali zinazopatikana pale. Ebola itaendelea kuitafuna Congo mpaka wazungu wenyewe watakapoona inatosha sasa. Hawa jamaa si wazuri kabisa on other side of the coinTuombe Mungu tu kilichobaki mzee jana nilisikia na ebola imeanza tena Congo![]()
Kuna dawa ndio inaleta nafuu imetengenezwa na Dr wachina pamoja na Japani ninatibu 91% ndio ipo inatestiwa vizuri saiz kwenye nchi 8
Au nije na sanduku la nguo pia?

Haha kuna watu watapata pressure kwakuwaza kuwa tayari wameupata kumbe mtu kapiga chafya ya kawaida tu. 😁😁Kuna siku ilinilazimu kwenda kwenye mizunguko hatarishi yale mawazo nikaanza kuumwa...eti nahisi kabisa maumivu,,,,nikihangaika kumbe stress tuu
😂😂😂 Ukuje na fokolift kabisa.Au nije na sanduku la nguo pia?![]()
We jamaa mchokozi sasa alafu cookie kila siku anakuwaga mwenye
usiku.Haya lala sasa mamii3:39
Hatimaye mvua yanyesha.
Iko hivi mfano mtu akipata ebola alafu akaja kupona alafu kwa bahati mbaya ukipata ugonjwa wa gono ebola inaamka tena inaanza na upya umeona balaa la virusi sasaLike eneo ni la kimkakati kwa mataifa yanayofaidika na rasilimali zinazopatikana pale. Ebola itaendelea kuitafuna Congo mpaka wazungu wenyewe watakapoona inatosha sasa. Hawa jamaa si wazuri kabisa on other side of the coin

Huku nilipo naona imeamua kupumzika. Mida ya saa sita iliambatana na upepo mkali kwelikweliMvua kubwa sana leo, asubuhi hakutokeki. Inanyesha tangu asubuhi ila sasa imetamalaki haswaaa
Haya pumzika sasa.3:39
Hatimaye mvua yanyesha.
Awww kwa uzito ganiUkuje na fokolift kabisa.


inamaana utazidi tani 1 ww 